Gharama za PAMOJARISE
Chagua mfumo unaofaa kikundi chako. Mifumo yote ni salama, rahisi kutumia na ina uongozi kamili wa fedha za kikundi.
PAMOJA MINI
Mfumo wa kusimamia tu - Tunasaidia kuhifadhi na kuchanganua taarifa
Huduma zilizojumuishwa:
Inafaa kwa:
- • Vikundi vya wanachama walio karibu
- • Vikundi vyenye mfumo wao wa kutunzia pesa (M-KOBA, Benki)
- • Vikundi vinavyotaka uchambuzi wa miamala tu
PAMOJA MAX
Mfumo kamili wa kifedha - Tunakusaidia kuhifadhi fedha za kikundi
Huduma zilizojumuishwa:
Inafaa kwa:
- • Vikundi vya wanachama walio mbali
- • Vikundi visivyo na mfumo salama wa kuhifadhi fedha
- • Vikundi vinavyotaka huduma za kiotomatiki
Linganisha Mifumo
Ona tofauti kuu kati ya PAMOJA MAX na PAMOJA MINI
Kipengele | PAMOJA MAX | PAMOJA MINI |
---|---|---|
Uhifadhi wa fedha | Tunakuhifadhia | Wewe mwenyewe |
Malipo automatic | ||
Kuingiza taarifa | Automatic | Kiongozi anaingiza |
Ripoti na uchambuzi | ||
Gharama ya mwezi | TZS 20,000/= + ada ya kutoa | TZS 30,000/= Punguzo 40% |
Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi
Je, ninaweza kubadilisha kutoka PAMOJA MINI kwenda PAMOJA MAX?
Ndio, unaweza kubadilisha muda wowote. Tutakusaidia kuhamisha taarifa zako zote.
Je, fedha zangu ni salama katika PAMOJA MAX?
Ndio kabisa. Tunatumia teknolojia ya kisasa ya usalama na fedha zako zimehifadhiwa kwa usalama mkuu.
Je, kuna ada za ziada za kufichwa?
Hapana. Gharama zote zimeelezwa wazi. PAMOJA MINI ni TZS 30,000/= tu, na PAMOJA MAX ni TZS 20,000/= + ada za kutoa pesa.
Je, nina punguzo la muda gani?
PAMOJA MINI ina punguzo la 40% kutoka bei ya asili ya TZS 50,000/= hadi TZS 30,000/=
Tayari Kuanza Safari Yako?
Anza kutumia PAMOJARISE leo na uone jinsi gani kikundi chako kitavyostawi na teknolojia ya kisasa