Mfumo wa kisasa wa uongozi wa fedha za vikundi vya kuweka na kukopa(vikoba)
Tunakusaidia kuongoza kikundi chako kwa urahisi, kwa ufanisi na kwa uwazi mkubwa. Pamoja tunaweza kufikia malengo makubwa zaidi.

99.9%
Ukuaji wa Vikundi
1,000+
Vikundi Vimejumuika
Teknolojia inayobadilisha kabisa jinsi unavyoongoza kikundi chako cha kifedha
Mfumo wenye usalama mkubwa unaohifadhi data za miamala yako kwa uwazi na uongozi bora
Pata ripoti na uchambuzi wa kikundi chako wakati wowote, hakuna kusubiri mwisho wa mwezi au mwaka
Tumia mfumo wakati wowote, popote ulipo - teknolojia ya kikundi chako mkononi mwako
Jukwaa letu linakubali aina mtindo wowote wa uendeshaji wa kikundi chenu; iwe riba kila mwezi, riba moja n.k. ni nyinyi tu
Hakuna haja ya kuweka faini wewe mwenyewe kwa wanachama waliochelewa kulipa, tunafanya hivyo kwa ajli yenu kiotomatiki
Wanachama wanapokea notification wakati wa miamala na kila kitu kinachoendelea kwenye kikundi chenu, hakuna mambo ya kushitukizana baadae
PAMOJA MINI: Kama unahifadhi pesa zako pengine tutakusaidia kuweka na kuchakata taarifa za miamala ya kikundi kiotomatiki.Imerahisishwa zaida: weka jina la mwanachama na kiasi tu, mengine yote tunafanya kiotomatiki.PAMOJA MAX: Tumia mfumo wetu kuweka au kutoa pesa za kikundi na vingine vyote vitamalizika kwenye mfumo kiotomatiki.
Kwa PAMOJA MAX, fedha za kikundi zinahifadhiwa na kuongozwa kwa usalama mkubwa na uwazi kamili